Northern Eagle
Member
- Dec 9, 2018
- 66
- 52
Upya wako uko wapi hapa wakati unajua kila kitu humu.
Nakuona unammendea kama ni binti mrembo umtongoze chap chap [emoji23][emoji23]Karibu sana kijana, jisikie huru kabisa.
Ungetaja jinsia yako,
Picha yako na ukajielezea kidogo nini kimekushawishi kujiunga jf na kipi hasa unatarajia humu.
[emoji897][emoji485]
Lol, taratibu bhana utanifukuzia ndegeNakuona unammendea kama ni binti mrembo umtongoze chap chap [emoji23][emoji23]
Haha sorry.. All the bestLol, taratibu bhana utanifukuzia ndege
Habari zetu in nzuriHabari zenu,wakuu
Mimi no member mpya kabisa wa JF naomba kukaribishwa