Kwa mwaka huo labda nikupe milioni nne2002
Hiyo ni kazi ya ccm kuongeza ushuru.Duuh ist imefika huko aisee
Naaam atakuwa mshirikina huyu,,,,,na hapo bado KODI shwa20mil??!
Kama used car unaita mpya, new car utaita nini? Just curious!
Sasa kama gari ni model 2002 kwanini heading yako umeandika New Toyota ist for sale?2002
Namimi nmeshangaa,Sasa kama gari ni model 2002 kwanini heading yako umeandika New Toyota ist for sale?
Gari ina umri wa miaka 24 halafu unaiita New? au hujui maana ya new?