Underwood JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 1,909 Reaction score 3,120 Jul 5, 2021 #1 Baada ya kukaa kimya kwa kitambo kidogo, yule MC anayefanya 'Hip hop isikilizike' amerudi tena na ngoma mpya ikiwa ni muendelezo wa ngoma pendwa zinazofahamika kama SINAGA SWAGGA. YouTube link πππ
Baada ya kukaa kimya kwa kitambo kidogo, yule MC anayefanya 'Hip hop isikilizike' amerudi tena na ngoma mpya ikiwa ni muendelezo wa ngoma pendwa zinazofahamika kama SINAGA SWAGGA. YouTube link πππ