Kama uliwahi kutumia kahawa, mara ya kwanza ukitumia kidogo unachangamka kweli kweli lakini baada ya muda kidogo hata ukiweka vijiko
viwili huchangamki kama mwanzo, hali hiyo itaendelea mpaka unazoea kahawa kama maji! HIVYO HIVYO UKIZOEA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU
ILE 'NATURAL ALERT OF SEXUAL DRIVE ' INAPOTEA mpaka inafikia hatua ya, hamna dawa hamna gemu. Hivyo basi, usitumie dawa hizo
kabisa badala yake kula mlo kamili na zingatia mazoezi, pia jitahidi kuepuka vilevi na vyakula vya sukari kwa wingi.La muhimu usisahau kujifunza
kupambana na msongo wa mawazo(stress,tension) hata kama maisha ni magumu kiasi cha kutoelezeka! KUMBUKA
Life is short!
Break the rules!
Forgive quickly!
Kiss slowly!
Love truly,
Laugh uncontrollably. .
And never regret anything
that made you smile.