New WhatsApp Update

New WhatsApp Update

Updates ni muhimu sana kwa dunia ya sasa kwasababu za kimaboresho au security purposes! Kuwa mvumilivu ndugu. Siku ukijua technology inafanyaje kazi utanielewa. Kutokufanya updates utakuwa nyuma ya technology na utakuwa hatarini pia.
 
Ila kiukweli zinakera, lakini ndo hivyo lazima tu-update huenda wana-improve security
 
Tangu tarehe 18 sijaiupdate what's app yangu labda nikimaliza kuperuzi Jf leo naweza nikakumbuka kufanya update
 
Tangu tarehe 18 sijaiupdate what's app yangu labda nikimaliza kuperuzi Jf leo naweza nikakumbuka kufanya update
 
Back
Top Bottom