New white elephant airport terminal in Dar

Kwahiyo kulikuwa na ndege moja TU iliyokuwa inaruka Indian Ocean off the whole East African Coast sio?! Na kwamba Kenya yote kulikuwa na less than 10 planes sio?!!
 
Hizi flight radar ni za mabeperu

zinajaribu kuhujumu juhudi za serekali, awamu ya tano ciciM ya ununuzi wa mindege [emoji23][emoji23]
 
Hizi flight radar ni za mabeperu

zinajaribu kuhujumu juhudi za serekali, awamu ya tano ciciM ya ununuzi wa mindege [emoji23][emoji23]
Kweli kabisa mkuu. Mabeberu hawana huruma. Yaani kwingine anga limejaa midege ila Afrika kama tupu tu. Hakuna cha kenya South au Nigeria.. Bora hata Tz kuna tu ndege tunaelekea huko duniani
 
Tatizo Wabongo wabahili sana, kumkuta akitumia ndege ni nadra sana hata kama hela anazo, sasa ndege zao wanazipigisha ruti ya ndani kwa kuogopa mkulima, humo ndani wenyewe hawapendi kuzitumia.

Pia maskini wanazidi kuongezeka

 
Mzee ATC usipobook two weeks before basi imekula kwako, ni Vile hatuna Mbwembwe kama za Wakenya humu kujisifu kujaza Gari moshi,
Angalia hapa yaani ndege zimejaa kwenda kokote nchi nzima, pita hapa ujionee mambo Error | Air Tanzania
 
MK254,

Dar Mbeya na Mbeya ndio kabisa huwezi pata nafasi unless uplan safari yako 4-6 weeks ahead,
a reason tunaagiza hizi ndege sababu hata soko la ndani hatujalimudu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…