NEW YEAR 2019

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
948
Reaction score
548
Nashukuru kupata fursa ya kuishi na fursa ya kupost humu...

Haya wajamen pateni fursa ya kucomment kwenye uzi wangu.

Tulio fanikiwa kuishi mpaka leo sio ujanja bali ni fursa tu aliyo tupa mungu..

Pamoja na tulio ingia 2019 tukiwa wazima bila ya kasoro yoyote mwilini Sio ujanja ni majaliwa ya mola.

Tusio fanikiwa 2018 haimainishi hatuna uwezo wa kufanikiwa ila ni majaaliwa ya mola...

Tulio fanikiwa 2018 kuelekea 2019 sio ujanja bali ni fursa tu aliyo tupa mungu..

Allah Akbar/Hallelujah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…