New year greetings

New year greetings

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Posts
1,400
Reaction score
2,010
HAPPY NEW YEAR ALL JEI EFU MEMBERS MAKE THIS YEAR AS UNIQUE AS THE OLD ONE... KEEP IT UP HAVE A BLESSED AND GAYsh SEASON.
 
Nakutakia kila kheri nawe mpwaaaa


hewala baba... ngoja tuanze kuganga yajayo.... natumaini watapunguza kuchakachua mwaka huu..... wasalimie mabinamu huko
 
Hakika JF mwaka jana ilikuwa tishio natumani itaendelea kuwa tishio kwa mitandao mingine pengine zaidi ya hapo....
 
Kumekucha.......HAPPY NEW YEAR!!.............
 
yeah jeiefu mwaka jana ilikuwa na changamoto na hamasa kubwa... hii inaonyesha ni jinsi gani watu walivyokuwa na kiu ya mabadiliko na papo hapo inaonyesha jinsi gani watu wanavyokuwa na shauku ya kutaka kujifunza na kujua mengi... inaonekana watanzania ss wanaazna kubadilika kwani sio destru yetu kuchambua mambo kwa kina na kujenga hoja lakini the last years shows its only a matter of times before this revolution taking over for gud...... keep it up guys... URBI ET ORBI ....
 
Back
Top Bottom