Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe dada umekula chumvi nyingi!!
You know Msasani Beach Club those were the days
Watu walianza kumtajia mpaka bank aliyokuwa anafanyia kazi mama yake na yeye akiwa mtoto wa single mother, wakati yeye anajinasibu ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu. Alikimbia.Hahahahaha lol! Hiyo you know umenikumbusha Lemutuz siku hizi hatii mguu humu.
Wakati huo Oystebay mweusi ukionekana ni boy, yaya au dereva wa mzungu
Na wengine walianza kupikia kuni, Kenyatta Drive na moshi wa kuni jamani.Baada ya Azimio la Arusha wakaporwa Wazungu Nyumba zao wakajazwa Wakurya Na ndio Ukawa mwanzo wa kuharibika Ostybay
Kila Mtu anataka uani aweke Banda la Ng'ombe Sijui Banda la Kuku Na Bata Kama yupo Kijijini kwao Shirati
Angalau Sasa hivi Baada ya kuuziwa Nyumba Za Serikal Na wao Kuuza Au kupangisha Tena kwa Wazungu hadhi ya Ostybay imerudi
Umeanza mambo ya kihuni?Tutaje ya kijijini kwenu?HahahahahaaaBaada ya Azimio la Arusha wakaporwa Wazungu Nyumba zao wakajazwa Wakurya na Wakerewe Na ndio Ukawa mwanzo wa kuharibika Ostybay
Kila Mtu anataka uani aweke Banda la Ng'ombe Sijui Banda la Kuku Na Bata Kama yupo Kijijini kwao Shirati
Angalau Sasa hivi Baada ya kuuziwa Nyumba Za Serikal Na wao Kuuza Au kupangisha Tena kwa Wazungu hadhi ya Ostybay imerudi
nilipoona jina ocean breeze, ghafla nikaikumbuka ocean breeze hotel na kati ya tanga. nililala pale last week.