New Year Party 1953 Ocean Breeze Hotel later Police Officers Mess

Hahahahaha lol! Hiyo you know umenikumbusha Lemutuz siku hizi hatii mguu humu.
Watu walianza kumtajia mpaka bank aliyokuwa anafanyia kazi mama yake na yeye akiwa mtoto wa single mother, wakati yeye anajinasibu ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu. Alikimbia.
 
Wakati huo Oystebay mweusi ukionekana ni boy, yaya au dereva wa mzungu

Baada ya Azimio la Arusha wakaporwa Wazungu Nyumba zao wakajazwa Wakurya na Wakerewe Na ndio Ukawa mwanzo wa kuharibika Ostybay

Kila Mtu anataka uani aweke Banda la Ng'ombe Sijui Banda la Kuku Na Bata Kama yupo Kijijini kwao Shirati

Angalau Sasa hivi Baada ya kuuziwa Nyumba Za Serikal Na wao Kuuza Au kupangisha Tena kwa Wazungu hadhi ya Ostybay imerudi
 
Na wengine walianza kupikia kuni, Kenyatta Drive na moshi wa kuni jamani.
 
Hao wapendwa hapo pichani kwa sasa watakuwa watu wazima sana!!!
 
Umeanza mambo ya kihuni?Tutaje ya kijijini kwenu?Hahahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…