G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Dec 29, 2007 #1 Mimi nitakuwa London lakini sijui nijimwage wapi..of course sitaki kujichanganya na wabongo pale CHOONI (CLUB AFRIQUE) lakini naomba ushauri kuhusu clubs au sehemu nzuri za kujimwaga zenye mademu wazuri wasio ringa na wasafi
Mimi nitakuwa London lakini sijui nijimwage wapi..of course sitaki kujichanganya na wabongo pale CHOONI (CLUB AFRIQUE) lakini naomba ushauri kuhusu clubs au sehemu nzuri za kujimwaga zenye mademu wazuri wasio ringa na wasafi
MAMA POROJO JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 4,974 Reaction score 785 Dec 29, 2007 #2 Kama hutaki kujichanganya na wabongo wenzako "CHOONI" panda daladala uje kwetu Manzese kwa mfuga mbwa.
Kama hutaki kujichanganya na wabongo wenzako "CHOONI" panda daladala uje kwetu Manzese kwa mfuga mbwa.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Dec 29, 2007 #3 Mambo yote Velvet Room au The Compound... Kukiboa huko basi nina uhakika Body Tap, Magic City au Strokers hakutaboa...
Mambo yote Velvet Room au The Compound... Kukiboa huko basi nina uhakika Body Tap, Magic City au Strokers hakutaboa...
G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Dec 29, 2007 Thread starter #4 Kuna kila dalili nitakuwa CHINA WHITE lakini kiingilio chake ni sawa na 245,000 ZA KIBONGO hiyo si hatari kwa starehe ya masaa 5 tu jamani?
Kuna kila dalili nitakuwa CHINA WHITE lakini kiingilio chake ni sawa na 245,000 ZA KIBONGO hiyo si hatari kwa starehe ya masaa 5 tu jamani?
Icadon JF-Expert Member Joined Mar 21, 2007 Posts 3,581 Reaction score 193 Dec 29, 2007 #5 Nyani Ngabu said: Mambo yote Velvet Room au The Compound... Kukiboa huko basi nina uhakika Body Tap, Magic City au Strokers hakutaboa... Click to expand... Ha ha duh umenikumbusha mbali sana wewe, 2005 pale Magic City jamaa uwa wanakufuru. Jazzy T bado hiko? Alafu nasikia waungwana waliiunguza Onyx. Mambo ya kuangalia Ball inadrop huku uso ukikuganda tuu ukitoka hapo unaangalia ustaarabu wa kutinga club.
Nyani Ngabu said: Mambo yote Velvet Room au The Compound... Kukiboa huko basi nina uhakika Body Tap, Magic City au Strokers hakutaboa... Click to expand... Ha ha duh umenikumbusha mbali sana wewe, 2005 pale Magic City jamaa uwa wanakufuru. Jazzy T bado hiko? Alafu nasikia waungwana waliiunguza Onyx. Mambo ya kuangalia Ball inadrop huku uso ukikuganda tuu ukitoka hapo unaangalia ustaarabu wa kutinga club.