New York: Wahuni waiba TREN ya umeme na kutokomea nayo kusikojulikana

New York: Wahuni waiba TREN ya umeme na kutokomea nayo kusikojulikana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi Dunia haishiwi maajabu

Polisi huko New York wametoa mkanda wa video unaoonesha kundi la watu wakiiba treni iliyokuwa imeegeshwa na kuiendesha.

Polisi inasema watu hao walijirekodi wakifanya kitendo hicho kisha wakaposti video hiyo kwenye mtandao wa kijamii.

LONDON BOY
Screenshot 2025-01-31 223331.png
 
Sasa kama wameendesha hiyo train inakuwaje haijulikani wakati reli zinajulikana kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. It doesn't make sense
 
Back
Top Bottom