Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Jan 31, 2025 #1 Amani iwe nanyi Dunia haishiwi maajabu Polisi huko New York wametoa mkanda wa video unaoonesha kundi la watu wakiiba treni iliyokuwa imeegeshwa na kuiendesha. Polisi inasema watu hao walijirekodi wakifanya kitendo hicho kisha wakaposti video hiyo kwenye mtandao wa kijamii. LONDON BOY
Amani iwe nanyi Dunia haishiwi maajabu Polisi huko New York wametoa mkanda wa video unaoonesha kundi la watu wakiiba treni iliyokuwa imeegeshwa na kuiendesha. Polisi inasema watu hao walijirekodi wakifanya kitendo hicho kisha wakaposti video hiyo kwenye mtandao wa kijamii. LONDON BOY
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jan 31, 2025 #2 Inasikitisha sana
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Jan 31, 2025 #4 Wahuni hao kina Maghayo na crew yake.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jan 31, 2025 #5 Mbona Kama haiingii akilini
PeeWee JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 410 Reaction score 1,118 Jan 31, 2025 #6 Sasa kama wameendesha hiyo train inakuwaje haijulikani wakati reli zinajulikana kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. It doesn't make sense
Sasa kama wameendesha hiyo train inakuwaje haijulikani wakati reli zinajulikana kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. It doesn't make sense