mi simo ukipigwa permanent ban. Ukiwa mpangaji muheshimu mwenye nyumba.
bwa ha ha ha ha umaaarufu upi? au ule wa kutafutia watu kazi majuu?Hapana usimsingizie mkuu, William sio dikteta wala mfinya uhuru wa kuzungumza, mbona kuna watu humu wanamtukana kabisa lakini hawajawahi kupewa ban? ujiulizi mbona yeye sio Premium member? nijuavyo mimi sasa hivi humu jamvini William ni maarufu zaidi na ameshaanzisha ukoo wake ambao unatumia hicho kibwagizo cha @.