New Zealand kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa za tumbaku kwa Mtu aliyezaliwa baada ya mwaka 2004

New Zealand kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa za tumbaku kwa Mtu aliyezaliwa baada ya mwaka 2004

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
New Zealand ipo kwenye mchakato wa kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa nyingine za tumbaku kwa Mtu yoyote aliyezaliwa baada ya mwaka 2004

Ni juhudi za kuondokana kabisa na matumizi ya sigara ikiwezekana hadi kufikia 2025 Mtu yeyote asivute sigara Nchini humo.

=================

New Zealand has announced a suite of proposals aimed at outlawing smoking for the next generation and moving the country closer to its goal of being smoke-free by 2025.

The plans include the gradual increase of the legal smoking age, which could extend to a ban on the sale of cigarettes and tobacco products to anyone born after 2004, making smoking effectively illegal for that generation.

Also under consideration was a significant reduction in the level of nicotine allowed in tobacco products, prohibiting filters, setting a minimum price for tobacco, and restricting the locations where tobacco and cigarettes can be sold.

https://www.theguardian.com/austral...igenous-australian-deaths-over-45-study-shows
“We need a new approach,” Associate Health Minister Dr Ayesha Verrall said on Thursday, announcing the changes. “About 4,500 New Zealanders die every year from tobacco, and we need to make accelerated progress to be able to reach that goal [of Smokefree 2025]. Business-as-usual without a tobacco control program won’t get us there.”

The proposals were welcomed by a number of public health organisations. “This proposal goes beyond assisting people to quit,” Cancer Society chief executive Lucy Elwood said in a statement. She noted that the number of tobacco retailers was four times higher in low-income communities, where smoking rates were highest.

“These glaring inequities are why we need to protect future generations from the harms of tobacco,” Elwood said. “Tobacco is the most harmful consumer product in history and needs to be phased out.”

Shane Kawenata Bradbrook, a long- term advocate for smoke-free Māori communities, said in a statement that the plan “will begin the final demise of tobacco products in this country”. Smoking rates are highest among Māori and Pasifika New Zealanders, and he said it was vital those communities had a voice in the process.

“For too long the tobacco industry has been addicting our people, fleecing them of their money before we have to bury them in urupa [burial grounds] all over this land. I am looking forward to truly making this a sunset industry in this corner of the world.”
 
Tatizo halitatatuliwa hivyo kwakuwa kununua anaweza kuagizwa mtu mwenye vigezo na kutumia akatumia mtu yeyote.

Nadhani labda suluhisho ni kupiga marufuku kabisa uuzaji wa bidhaa hizo katika nchi nzima.
 
Sigara ni hatari kwa afya yako!!!
Kwa maelezo zaid!! Endelea kuvuta:

By songa~Tamaduni:

N.B
Jaman kuacha fegi ni ngum mnoo:
 
Wavuta sigara ni watu wasio na akili kabisa.

Tanzania tungeanza na kupiga marufuku uvutaji wa hadharani kwanza maana wavuta sigara ni kama bata, bata akijisikia kunya hata kama hapo jirani kuna sufuri ya ugali yeye anainyea tu, ni hivyo hivyo kwa wavuta sigara, akihisi kiu hajali kama kuna watoto, wagonjwa yeye atavuta tu.

Ni wavuta sigara wachache sana wana akili anaweza kuhisi kiu akatoka kwenda kuvutia mbali, ni wachache sana. Wengi akili zao ziko kama za bata.
 
Rubbish....waliobakia watawanunulia na watavuta pamoja, what's the point?!
Ambitious yet unrealistic goals.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Huku hayo Mambo ni kama hayapo, sigara za huku hazina kansa wala vimelea.
 
Hongera sana kwa kutambua hilo,
Mugeuze macho sasa kwenye vilevi na pia kwenye vibikini,
Mujitahidi kushinda vishawishi vyote vya shetani,

Ukweli utajulikana na utashinda tu
 
Back
Top Bottom