New

mwimu

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
7
Reaction score
0
Habari jamani me ni mpya so naitaji karibu jamani japo nilipitia post mbalimbali zilizonifunza na kunielimisha, kabla sijaomba ukaribisho
 
Habari jamani me ni mpya so naitaji karibu jamani japo nilipitia post mbalimbali zilizonifunza na kunielimisha, kabla sijaomba ukaribisho
Watoto wa 2000+ mna taabu sana mmetupotezea msisimko wa JF kabisaa yaa
 
Kivipi tena mkuu mbona unalalama aisee
 
Karibu sana JF mjukuu wetu......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…