New

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
157
Reaction score
21
Wakuu naomba munijuze matokeo college yanatoka kwa pa1 au laa coz nimeomba vyuo vingi naogopa icje ikatoka post nikaicha na kama kuna m2 anajua vyuo vya afya wanatoa majbu mwez wa ngap?

MSAADA PLZ!!!
 
Mwezi wa nane mwishoni au watisa mwanzoni coz mnatakiwa kuanza masomo tarehe moja mwezi wakumi
 
Msaada plz!!!!
 
Afya,kilimo na ualimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…