New

Kuna sehemu ya wageni ila hapa umekosea.
Karibu lakini. Unaonekana bado kuku mgeni
 
Kama kaumiza kichwa kuvuka barabara zote mpaka kufika hapa nafikiri, atafaa kuendeleza kuumiza kichwa kuutokomeza umasikini.
Kwa-mikono miwili karibu.
Salaam.

Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…