New

New

Karibu dear lakin unajua sheria za JF?! Ukiwa mgen lazima utupie picha yako jamani,,, weka picha basi tukupe like zetu??
 
naona kweli wewe mgeni hadi una manyoya
 
Mgeni huyu amechangamka sana.

Ishakula kwetu
 
PM unakujua..? ngoja nikuonyeshe

Kwa mara ya kwanza nacheka kwa nguvu sana mkuu ni leo!!!

Hahahaaa!:lol::lol:

PM ni kipengele muhimu sana ambacho mgeni wetu anatakaiwa akijue na kukifanyia kazi haswaa!!
 
Back
Top Bottom