Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
newborn au born again?
Karibu binti!
Nakukabidhi kwenye familia ya Mtambuzi.
Akina mwaJ, King'asti na Zion Daughter watakuonesha taratibu.
Mie nataka nchaakuchumbia
newborn!!
Wakaribishwa sana..
Karibu sana.Nakukabidhi kwenye familia ya Mtambuzi.
Akina mwaJ, King'asti na Zion Daughter watakuonesha taratibu.
Mie nataka nchaakuchumbia
Am a new born baby in this family (jamii forum).
Bt simjui baba, mama, kaka wala dada... Kama mpo jitokezeni jamani kumpokea huyu baby
Karibu sana JF mkuu.
Karibu sana.
Kwa masuala ya kula kula kule jukwaa la Chef utawasiliana na mama yangu mwaJ
Kwa masuala ya chitchat raisi ni Arushaone lakn pia ana msaidizi wa uchumba na ndoa kama bado upo upo nao ni Baba V na watu8.
Lakn kaa mbali na Asprin hichi kibabu ni kikaguzi na kina wake 4 na concubines kibao kama mfalme suleiman.
Siasani umuone family member my super dad Mwita Maranya .
Tunaye mwinjilisti ladyfurahia na mtumishi Bujibuji (huyu sikuhizi amerudi nyuma uwe makini nae)
Kama unahitaji mkopo wa biashara wasiliana na Bishanga .
My love stevoh huyu ni multi purpose kila kazi anaweza.
My anty Kongosho ni mama makavu live wakisaidiana na KINGásti Snowwhite na wengine
kuna wengi sana utajua kazi zao taratibu kama manoah mimisa Mr Rocky Tetra Nicas Mtei majany Superman etc etc .
Kwa ufupi familia yetu ni super extended family.. karibu sana
Karibu baby gal!
Dah umefika ulezi utapata bila shaka Bishanga mzee wa mrengo huo atakupa pumziko stahili.
Karibu sana, ukipata mchumba hakikisha unaniona kule chit chat (The real family). Mengine tukutane chit chat