Karibu sana.
Kwa masuala ya kula kula kule jukwaa la Chef utawasiliana na mama yangu
mwaJ
Kwa masuala ya chitchat raisi ni
Arushaone lakn pia ana msaidizi wa uchumba na ndoa kama bado upo upo nao ni
Baba V na
watu8.
Lakn kaa mbali na
Asprin hichi kibabu ni kikaguzi na kina wake 4 na concubines kibao kama mfalme suleiman.
Siasani umuone family member my super dad
Mwita Maranya .
Tunaye mwinjilisti
ladyfurahia na mtumishi
Bujibuji (huyu sikuhizi amerudi nyuma uwe makini nae)
Kama unahitaji mkopo wa biashara wasiliana na
Bishanga .
My love
stevoh huyu ni multi purpose kila kazi anaweza.
My anty
Kongosho ni mama makavu live wakisaidiana na
KINGásti
Snowwhite na wengine
kuna wengi sana utajua kazi zao taratibu kama
manoah mimisa Mr Rocky Tetra Nicas Mtei majany Superman etc etc .
Kwa ufupi familia yetu ni super extended family.. karibu sana