white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
kwa msimu huu shetani atageuka kuwa paka!kwa zaidi ya miaka kumi hatimaye newcastle yaifanyia kitu mbaya man utd,ki ukweli kama ni mbinu za mpira wameishiwa kabisa!hata kama ni ushindi wanapata kiujanja ujanja 2,ferguson bila kuzinduka atastafu kwa aibu kubwa sana.Bravo demba ba,mechi 15 ktk epl na goli 15!the best ratio.