dah chama la dingi yangu hili humwambii kitu juu ya Newcastle ila jitahidini mmalize top 6 msimu ujao Muwe sticky... New castle ni timu yenye bahati ya kuwa na ma striker wa ukweli ..... bahati mbaya huwa wanang'ara na kukimbilia timu kubwa ..