Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

Inahitaji roho ngumu sana kupingana na uhalisia kuwa City are on the league of their own.Wanacheza kandanda safi na wanapata matokeo ni swala la muda tu kabla hawajatawazwa kuwa mabingwa wa aina yake ndani ya EPL.
 
Inahitaji roho ngumu sana kupingana na uhalisia kuwa City are on the league of their own.Wanacheza kandanda safi na wanapata matokeo ni swala la muda tu kabla hawajatawazwa kuwa mabingwa wapya wa EPL.
uliangalia game ya Jana na Newcastle!?..city wamechoka wasipoangalia January inaweza kutia shubiri kwenye sharbati yao
 
Saizi Man City ni mwendo wa kutandika mitalimbo tuuuu
 
Ngoja nikuulize swali moja,au mawili.

Niligi gani ulaya miongoni mwa ligi tano kubwa ambazo timu yakwanza inaogoza ligi kwa point 15 zaidi ukitoa EPL?.
Hakunaaaa . ....hata ligi yetu ya mchangani VPL haipo hivyo
 
uliangalia game ya Jana na Newcastle!?..city wamechoka wasipoangalia January inaweza kutia shubiri kwenye sharbati yao
Ingekuwa game ya mwisho inapoishia ndio inapoanzia game inayofuata hii hoja yako ingekuwa na mashiko lakini kumbuka wanaenda kuoga kulala na kufanya mazoezi basi tegemea kitu tofauti mechi ijayo, tena watakushangaza tu
 
huenda hujawahi kushiriki ligi yoyote ya kandanda,ungejua inavyochosha kucheza mechi tatu ndani ya wiki..ndani ya mwezi huu pamechezwa mechi 10 had januari..ndio maana kuna kitu kinaitwa rotation ya wachezaji..weekend wanacheza tena plus FA inaanza
 
Mkuu subiri
 
Msimu uliopita alikuwa wap wakat anapigwa nne nne na wakina everton? Epl bado ligi ngumu bila usajili wa maana pale hutok
Msimu uliopita? old news Hatukuwa vizuri, tulikuwa hovyo, hatukujua mpira sawa. ila tunaongelea msimu huu. maana kuna msimu tuliwapiga 6 - 1, hayo ni old news.
 
Panapostahili pongezi pongeza na panapostahili kukemea kemea, mpaka round hii ya ishirini city yuko vizuri mpaka sasa waingreza wenyewe hawaamini wanachokiona.Jamaa PEP anatisha mourinho mwenyewe kakimbilia kusema hakupata hela za usajili za kutosha...!!
 
Msimu uliopita? old news Hatukuwa vizuri, tulikuwa hovyo, hatukujua mpira sawa. ila tunaongelea msimu huu. maana kuna msimu tuliwapiga 6 - 1, hayo ni old news.
Binadamu kuangusha kabat huwa sio inshu wala story ila mende akiangusha kabat basi huwa story big story kwani ni kitu kipya so lazima miwe hivyo waliozoea ushindi huwez kukut wanafungua thread kwa sababu ni kitu kipo kama kawaida sasa nyie lazim mpagawe.
 
Aisee ni kweli tumepagawa, Ila kumbuka mashabiki wa mancity sio wengi na sisi ni wa juzijuzi tu, sikuwa shabiki wa mpira ila ile siku naona Mancity anaifunga Man U 6 - 1 wakawa wanasema mende kaangusha kabati. ndio siku nilianza kushabikia epl. jezi nikanunua Mancity.
Kwa uchache wa mancity mji unatulia maana ingekua Man U, Chelsea au Arsenal ipo juu basi kelele zingekuwa nyingi sana, nakumbuka man u alianza na kelele za 4G.
 
Sio sisi tu hata hawa wanafungua post mpya kila mara, sijui wangekuwa hapo juu ingekuwaje. msome hapa
Kama Man united tukifungwa na Bunley leo naacha kushabikia mpira msimu huu :Man United 0 Bunley 2 Kipindi cha kwanza
 
huenda hujawahi kushiriki ligi yoyote ya kandanda,ungejua inavyochosha kucheza mechi tatu ndani ya wiki..ndani ya mwezi huu pamechezwa mechi 10 had januari..ndio maana kuna kitu kinaitwa rotation ya wachezaji..weekend wanacheza tena plus FA inaanza
Mkuu usisahau leo kucheki cty
 
Kama timu inafanya vizuri tuipe pongezi tu hata kama hauisapoti....inauma lakini ndi hivyo tena....ligi ni idadi ya points sio chenga😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…