full time Newcastle 2 Westbrom 1,huu ni ushindi wa nne mfululizo wa Newcastle united,game 3 za nyuma alimfunga Chelsea 2 - 0 game ilipigwa st James park,akamchapa Tottenham 1 -
0 ugenini white hl na pia akiwa nyumbani akamchapa Norwich 2 - 1 na kuwafanya wafikishe pointi 23 na kushika nafasi ya 5.Vigogo mkae tayari msimu huu Newcastle wako vizuri idara zote kuanzia goli kipa mpaka sasa kipa bora wa premier msimu huu ni Tim Krul,beki ipo vizuri,viungo ndo utaipenda huku Ismael Cheikh Tiote kule Yohan Cabaye,kwenye striker ndo balaa kila game mtoto wa kifaransa Lolic Remy anatupia tu magoli nyavuni.