weka hapa sites ambazo mmeshatengeneza ili tuone tofauti. msije kuwa mnadownload zile templates kisha baadae inakula kwa mteja
ukitaka kuuziona njoo ofisini mdau, hatuuzi mbuzi kwenye gunia. na kuhusu kuweka hapa itakuwa ngumu kwani site ni mali ya mteja tayari sasa ukimuweka hapa anaweza asifurahishwe na hilo. njoo ofisini uinspect kila site mpaka uchoke mwenyewe ukiridhika tutafanya biashara.
mkuu ukihitaji sample ni pm au niemail nitakupa, ila kuweka site za wateja hapa ni kupoteza customer relationsMkuu nadhani haukuja kibiashara. Unapoamua kujitangaza maana yake unataka ujulikane kwa wateja, sasa unapoanza mara tukutembelee wenyewe ofisini wakati kuna kampuni zingine wanatembeza sample zao kusaka wateja sijui una maana gani. Zama hizi za ushindani ni bora kuwa wazi au uendane na maombi ya wateja la sivyo itakula kwako.