After 15 years,
Jamaa katika sherehe ya Christmas alimwita mkewa HONEY,
naomba unipakulie chakula, Jamaa alikosa kabisa huduma hiyo.
Mke alikuja juu!!!! .........leo nimekua Honey wako, kwani ni kitugani nimebadilika?
(kawaida humwita mama............).
Happy New Year Wish... 2011