News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

Anafanana na LEE EVANS.
 
Majirani na ndugu zetu Wakenya hawa wazungu waangalieni kwa macho zaidi ya mawili msije mkawa mnachezeshwa ngoma isiyo yenu
Baba yenu Kenyatta senior alikuwa mjanja saana kukataa kuchezeshwa ngoma inayoitwa Muungano na Znz siye wa Tz tukaingia ngomani, naam goma linatokota

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila kusahau dollar na idadi ya maafa ingekuwa kubwa zaidi

naskia zimeanza propaganda kuwa tz inawapa support hao wavaa kobazi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Support si lazima ya vifaa, hata hizi propaganda na negativity dhidi ya Wakenya ni moral support kwa magaidi hivyo wako sahihi in a way kusema wa'Tz wanawapa support Al-Shabaab.
 
pia hyo kauli imetoka huku tukio likiwa bado linaendelea sasa kwanini moja kwa moja waihusishe tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa wana vyanzo vyao, hawawezi kubuni habari na kuzitangaza hivyo dawa ni kuwauliza chanzo chao labda kama watadai ni siri basi wafunguliwe kesi nadhani hapo watalazimika kukitaja chanzo cha hizo habari. Kwa watu mmoja mmoja naamini wapo Wabongo ambao ni Al-Shabaab sympathizers na hata supporters kwani kumeshawahi kuwepo hata Al-Shabaab member ambaye ni m'Tz.
 
Support si lazima ya vifaa, hata hizi propaganda na negativity dhidi ya Wakenya ni moral support kwa magaidi hivyo wako sahihi in a way kusema wa'Tz wanawapa support Al-Shabaab.
mtaani umeona watu wanavyolichukulia ilo tukio?

kwanini kipindi bado tukio linaendelea lkn mda huohuo tanzania ikaanza kupewa lawama?

hamna mtz alieshangilia ilo tukio ila walitoa ushauri tu kuwa kenya waondoke somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kati ya hao magaidi walioshambulia juzi wawili ni wakenya pia

point yao kubwa kuwa ni kwanini tz hana jeshi somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi usikatae,hata humu kwenye mitandao baadhi wanajidhihirisha kwa comments zao.
 
point ni kuwa mwanzo tu watukio watu wakaanza kuisingizia tanzania nchi ambayo haitengenezi ata risasi



Sent using Jamii Forums mobile app
Tuhuma zilianzia kwenye vyombo vya habari vya South Africa na wala si Kenya, halafu kuwa supporter au sympathizer hauhitaji kuwa na kiwanda cha silaha.
Huu ni ukweli na haukwepeki.
 
ukweli kuwa tz anawapa support al-shabab?

Sent using Jamii Forums mobile app
Don't quote me wrongly, si eti Tz inawapa support Al-Shabaab bali kunabaadhi ya wa'Tz wako affiliated na kikundi hicho na pia wapo wanaokipa moral support.
Baadhi ya wa'Tz ndicho nisemacho na ni wachache for your information.
 
Don't quote me wrongly, si eti Tz inawapa support Al-Shabaab bali kunabaadhi ya wa'Tz wako affiliated na kikundi hicho na pia wapo wanaokipa moral support.
Baadhi ya wa'Tz ndicho nisemacho na ni wachache for your information.
hiyo ndio point sasa

lkn mpaka al-shabab kufanya ilo tukio support kubwa wameipata kwa wakenya wenyewe kuanzia gari walilotumia na mahitaji mengineyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…