News: Ajira za waalimu 2013/2014

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Wadau mtu wa 10 sasa aniambia kuwa ajira znatangazwa trh 26JANUARY, je kunaweza kukawa na ukwel wowote ule? 2juzane bac wadau plz....
 
Inawezekana, kwan week hii ndo wanapanga wilaya, tumepigiwa cm tunahtaji walimu wangapi kituon kwe2, kaen mkao wa kula wadogo msijali serikali ya ccm ni sikivu.
 
Nauona ukweli fulani juu ya hili nami nimesikia kwenye pitapita zangu.
 
Inawezekana, kwan week hii ndo wanapanga wilaya, tumepigiwa cm tunahtaji walimu wangapi kituon kwe2, kaen mkao wa kula wadogo msijali serikali ya ccm ni sikivu.

kwan uko mkoa gani best?
 
ujue nin nimecheck contact za waziri mpya mheshimiwa mhagama nimepata no zake nimemtext hazipatikani nimemtumia e-mail pia bado ujue inatupa shida sana tunashindwa kuongeza mkataba kuhofia
 
Tar. 26 itakuwa ni j pili,
Mbona tulitarajia j pili ya tar 19 zitangazwe badala yake siku hiyo mulugo akakutana na Dk. Jakaya?
Ngoja tuvute subira.
 
Kusema ukwel nmechoka kitaa waungwana! da,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…