News alart,

Ranyau

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
79
Reaction score
6
Mwalimu wa literature history english language ,o level to advance level napatkana kwa mwenye tempo na pia anaetaka tution, na mhitimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam:BA ED. Napatikana dar
 
Mkuu kwan ukisema umotokea UDSM bas ndo kuna nn cha ziada? Product gan ya UDSM hata kizungu kwako ni mgogoro?
 
Mkuu sikua serious ! Katka maandishi . Najua kabsa kwamba hakidetermine uwezo wa mtu.so nimeandka tu.
 
Mkuu sikua serious ! Katka maandishi . Najua kabsa kwamba hakidetermine uwezo wa mtu.so nimeandka tu.
Kama mwalimu, tena wa 'language" kama unavojinadi....
You should be thorough mkuu,
This is the image you portray
Hatuhitaji tena NECTA ku-"enrich" matokeo.
 
Am struck by the title thread!
"News alart"
.....kumbe ticha...!?
 
Mwalimu wa literature history english language ,o level to advance level napatkana kwa mwenye tempo na pia anaetaka tution, na mhitimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam:BA ED. Napatikana dar
Weka hii kwenye nafazi za kazi au ajira..
 
Kaka hiyo kweli! Kiukweli niko safi ! Kwenye masomo tajwa hapo juu! Kwakuwa umenipa changamoto, l will be very serious with my post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…