News alert Magaidi hatari 19 wa kikundi cha Hamas yauawa na makomandoo wa IDF huko Gaza

News alert Magaidi hatari 19 wa kikundi cha Hamas yauawa na makomandoo wa IDF huko Gaza

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Magaidi yameanza kurudi lakini IDF haipoi na haijaribiwi

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The Israel Defense Forces said Sunday that a military raid, completed Saturday, on Kamal Adwan Hospital in northern Gaza had killed 19 terror operatives, without any known civilian casualties, after Hamas-run health authorities previously claimed — and some international media reported — that 50 people had been killed, including hospital staff.
 
IDF imeshagundua kuwa magaidi yanajificha kwenye kivuli cha taasisi za afya. Hata kule Lebanon walijidai wamejenga pharmacy, kumbe ni ghala la silaha, na limegundulika baada ya Hezbollah kukimbia maeneo yao
 
Takbiiiiiir..
Hamas wamesababisha shida kubwa mno kwa Gaza kwa ule uovu wao wa October 7.
#DuniaBilaMagaidiInawezekana
 
Twafaaaaaaa yaraabi eeeeenh

1000314568.jpg
 
Ukiuwa moja yanazaliwa kumi.. Vita haijawahi kuwa suluhu ya amani
Itazame hiyo vita hapo Gaza kama palizi inayofanyika shambani (nchini Plestina) lazima magugu yote (magaidi) yaondolewe ili mazao (wanaPalestina) yaweze kustawi i.e. kupata maendeleo chanya. IDF wanaifanya kazi hiyo ya palizi kwa weledi mkubwa.
 
Back
Top Bottom