Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wayahud wenyewe wanarithishana bunduki.Ukiuwa moja yanazaliwa kumi.. Vita haijawahi kuwa suluhu ya amani
Itazame hiyo vita hapo Gaza kama palizi inayofanyika shambani (nchini Plestina) lazima magugu yote (magaidi) yaondolewe ili mazao (wanaPalestina) yaweze kustawi i.e. kupata maendeleo chanya. IDF wanaifanya kazi hiyo ya palizi kwa weledi mkubwa.Ukiuwa moja yanazaliwa kumi.. Vita haijawahi kuwa suluhu ya amani
Ndo "mikoba" yao hiyo kama inavyokuwa huku bongo kurithishana tunguli na vilinge.Wayahud wenyewe wanarithishana bunduki.
Wanazaliwa wengi wenye ujasiri zaidi,mawazo mapya,mbinu mpya na nguvu kubwa zaidi,Ukiuwa moja yanazaliwa kumi.. Vita haijawahi kuwa suluhu ya amani
Na bado mnaamini ni taifa la Mungu!? Basi sawa!Wayahud wenyewe wanarithishana bunduki.
Yes kwan hujui Mungu ndie katupa akili. Maisha ni halisia wewe sio miujiza. We endelea kusubiri miujizaNa bado mnaamini ni taifa la Mungu!? Basi sawa!
Sawa, mwanaisrael!Yes kwan hujui Mungu ndie katupa akili. Maisha ni halisia wewe sio miujiza. We endelea kusubiri miujiza
Haya mwarabuSawa, mwanaisrael!
Tofauti na hivyo viatu hamjaokota furushi la ndevu hapo kwenye tukio?