News alert magaidi ya Hamas wakubali kuachia huru mateka 22 walio hai, 12 waliofariki, Israel yagoma inataka mateka 34 walio hai ndiyo waachiwe

Watasema waliuawa kwenye mashambuli yao wenyewe
 
hamas sio majambazi wewe,hao ni wapigania uhuru yao
Ww unahangaika na hawa mbwa hutakiwi kuwaelewesha limited knowledge wakishadomewa mistaking jumapili basi kuvaa mchongoko na kuanza kusimamia walicholishwa hadi waambiwe venginevo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…