kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,780 Reaction score 673 Jun 26, 2012 #1 yamtaka rais wake kutangaza kupitia vyombo vya habari kuheshimu amri iliyotolewa na mahakama hiyo ijumaa iliyopita. CHANZO: TBC 1
yamtaka rais wake kutangaza kupitia vyombo vya habari kuheshimu amri iliyotolewa na mahakama hiyo ijumaa iliyopita. CHANZO: TBC 1
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Jun 27, 2012 #2 Sasa atatangazaje wakati yuko ICU?, hii mahakama hiii ijiangalie.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Jun 27, 2012 #3 mahakama dhaifu sana hii...ndo shida ya kuchagua ma jaji kwa kuangalie vigezo vya ki social zaidi na mambo yetu yale ya naniliiiii...
mahakama dhaifu sana hii...ndo shida ya kuchagua ma jaji kwa kuangalie vigezo vya ki social zaidi na mambo yetu yale ya naniliiiii...