dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 539
- 119
Kwa wale walioomba kujiunga na chuo hicho cha ITA ktk programs mbalimbali wanaweza kucheki majina yao kupitia web ya chuo ambayo ni ITA : INSTITUTE OF TAX ADMINISTRATION kutokana na tangazo la chuo,masomo yanaanza 16 Sept.2010