Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nyani Ngabu,
Wangejua tu kwamba ni mbeba unga nadhani hata wasingefika huko!..
New York ni venue tu, atakuwa wa kwanza kushitakiwa katika mahakama ya kiraia Marekani nzima, period.
... atakuwa ni mtuhumiwa wa kwanza kutoka gereza hilo kushtakiwa katika mahakama ya Kiraia huko New York.
Mkutano wa Obama na Kikwete unahusiana nini na huyu gaidi? Hiyo point ingehusika kama suspect angekuwa supported na Tanzania au amesababisha diplomatic tensions between them. Vinginevyo ni kitu kinaelea elea tu.
Uamuzi huo unakuja siku chache tu kabla Rais Kikwete hajakutana na Rais Obama mjini Washington DC.
Kivipi? Kwa nini? Unataka kusema angeshitakiwa jeshini ndio angekufa asirudi Tanzania au unataka kusema sasa watakuja kum hand over kwa TZ? What do you mean? How? Ha ahaaaaaaa Duuu, wana habari wetu mtu anaweza akajitungia tu kitu. Kama Michuzi aliyeandika Daily News kwamba Obama na Kikwete wanakutana katika kipindi ambacho Obama yuko under pressure ya Waafrika. Kivipi, hakusema, kajitungia sentensi ipo ipo tu.Kushtakiwa kwa Ghailani kwenye mahakama ya kiraia kunaweka uwezekano wa hatimaye kuweza kuhamishiwa Tanzania ambako pia anatakiwa.
Hii story nzima ilishawekwa hapa na QM anyway.Ghailani alikamatwa huko Pakistani miaka michache iliyopitwa akidaiwa kuhusika na ulipuaji wa Ubalozi wa US mjini Dar-es-Salaam na kujihusisha na mtandao wa ughaidi wa Al-Qaida.
Mtuhumiwa wa Ughaidi Ahmed Ghailani ambaye amekuwa akishikiliwa huko Guentanamo atakuwa ni mtuhumiwa wa kwanza kutoka gereza hilo kushtakiwa katika mahakama ya Kiraia huko New York. Uamuzi huo unakuja siku chache tu kabla Rais Kikwete hajakutana na Rais Obama mjini Washington DC.
Ghailani alikamatwa huko Pakistani miaka michache iliyopitwa akidaiwa kuhusika na ulipuaji wa Ubalozi wa US mjini Dar-es-Salaam na kujihusisha na mtandao wa ughaidi wa Al-Qaida.
Kushtakiwa kwa Ghailani kwenye mahakama ya kiraia kunaweka uwezekano wa hatimaye kuweza kuhamishiwa Tanzania ambako pia anatakiwa.
unajua jamaa alikuwa set up big time.. sidhani kama ni ghaidi wa kupewa attention hiiyo yote.. ni yale yale ya kutaka kuchangamkia tenda ya haraka haraka kumbe vingine vimeshavunda..