Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hatimaye Rais Mugabe naye anatumia sharti linalotumiwa na Karume kuwa hadi umtambue kama Rais ndiyo wataweza kukaa chini kuzungumza. Baada ya kuwasili kutoka Misri, Mugabe anasema yuko tayari kuzungumza lakini hadi wamtambue kwanza kama Rais.

kama kuna kitu kinaudhi, ni hawa madikteta wanaoshindwa uchaguzi halafu, wanaganda kwenye madaraka , na wale walioshinda wanakuw amawaziri mkuu eti kwa litania ya serikali za mseto.Ujinga uliofanyika Kenya, umeanza kuitafuna Afrika. Kama Kibaki angeshughulikiwa ipasavyo mugabe asingekuwa na jeuri hii ya kusema ujinga huu. Sasa leo Mugabe atasema hivi, kesho Museveni atafanya hivyo hivyo na baadaye utaendelea kuwa mchezo huu huu. This is African solution to African problems!
Hatimaye Rais Mugabe naye anatumia sharti linalotumiwa na Karume kuwa hadi umtambue kama Rais ndiyo wataweza kukaa chini kuzungumza. Baada ya kuwasili kutoka Misri, Mugabe anasema yuko tayari kuzungumza lakini hadi wamtambue kwanza kama Rais.
...Naona mzee Robby anawawekea mitego washkaji na hapo ndipo watakapopoteza muelekeo...
Mkimtambua kama raisi then mkaongea na akikataa hiyo serikali ya mseto??? Mnakuwa hamumtambui tena??? Mugabe kawatia kabali ya tumbo hapo wasipokuwa makini wataishia kuhara tu...
He learn from CCM,ni mwanafunzi wa sera zao na kamwe hawezi kuziacha..Which means kamaCCM ikitoka yeye basi hata Mugabe atatokaNadhani anafuata kitabu cha CCM cha kutatua migogoro ya ndani.