Wakuu wahanga wenzangu tuliokosa ajira za uwalimu awamu ya kwanza natoka Tamisemi ya hapa Dar kwa information nilizopewa yatubidi tuwe wavumilivu kwasababu sijapewa matumaini yoyote labda watakaoenda Dodoma makao makuu. Kwa habari nilizopewa ni kuwa majina yetu yatatoka mpaka maexpart wawizara waludi mikoani ambapo walienda kufanya selection I mean uwakiki wa kujuwa wangapi wamerepot na wangapi awajarepot nimeambiwa walishaenda tokea mwezi uliopita this week wanaweza wakawa wanaludi ndo wafanye process za majina yetu.Source ni mm mwenyewe nimetoka tamisemi time izi,Ntakuwa nawapa update kama kutakuwa na changes zozote nawasilisha. Sulle,Chemichemi