News Alert; Update toka Tamisemi wale wa second selection

mcharge

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
248
Reaction score
49
Wakuu wahanga wenzangu tuliokosa ajira za uwalimu awamu ya kwanza natoka Tamisemi ya hapa Dar kwa information nilizopewa yatubidi tuwe wavumilivu kwasababu sijapewa matumaini yoyote labda watakaoenda Dodoma makao makuu. Kwa habari nilizopewa ni kuwa majina yetu yatatoka mpaka maexpart wawizara waludi mikoani ambapo walienda kufanya selection I mean uwakiki wa kujuwa wangapi wamerepot na wangapi awajarepot nimeambiwa walishaenda tokea mwezi uliopita this week wanaweza wakawa wanaludi ndo wafanye process za majina yetu.Source ni mm mwenyewe nimetoka tamisemi time izi,Ntakuwa nawapa update kama kutakuwa na changes zozote nawasilisha. Sulle,Chemichemi
 

duuh poule mkuu.
 
Last edited by a moderator:
hatari hatari vijijn mbali mimi nipo wanapopangia majina
 
Mwalimu huyo aliye kupa jibu hilo nahisi hajui mfumo wa utendaji wa TAMISEMI ,,huwa hakuna utaratibu huo ulio ambiwa,report za walio fika vituon huwa zinatumwa kupitia posta kwa Ems pamoja na attachements za pdf kwenye website ya wizara kama staff,na sio kutuma watu kuzungunguka nchi nzima kufuta taarifa kama huyo unaye sema kakwambia,,TATIZO KUBWA NA AJIRA ZA AWAMU Y PILI NI PESA, HAKUNA PESA ,ni hayo tu mwalimu wetu hayo mengine utadanganywa tu.
 

Mkuu nimekuelewa sasa unafikiri tufanye nini iyo ajira ipo na kama aipo kwa nini tamisemi wasitowe tamko rasmi kuwa amna selection ili tutoe matumaini ya kuajiriwa na hao hao tamisemi ndo wanaotupa moyo kuwa kuna second selection mi nilienda mpaka pale dodoma wakaniambia niatoach vyeti vyangu vyote iyo imekaaje mkuu
 

Mwalimu ukikaa na kumtafakari huyu mheshiwa wetu na mawaziri wake pamoja viongozi wake kwa ujumla utagundua mambo memgi yanaendeshwa bila kufuata protocal yaan yana uhuni mwingi na ujanja ujanja sana.
 
Hapo ulipo pambana kwa njia nyingine kama kutafuta shule ya private maisha yaendelee taarifa kuhusu walimu walioripoti zimetumwa muda mrefu wizarani na sehemu nyingine husika,hii habari ya kua wametumwa watu ni uzushi wao tu kwa kifupi serikali haina pesa ya kuajiri kama hao walioajiriwa tu hakuna pesa la kuwalipa kwa wakati nakushauri funga mkanda pambana maisha yataendelea.
 
poleni sana walimu mnaosubiri ajira,ushauri wangu wakati bado mnasubiri tafuteni shule za private
 

Asante mkuu kwakujitolea kufuatilia jambo hili.
 

Ahsante,tumepokea mkuu
 

be tolerant mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…