babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ni kweli wote komando na wengine upande wa pili wote magaidi.kila mtu acheze game yake.Hiyo nchi kila kiumbe ni Komando,Elite Solders
Mwisho wa siku wote wanalazwa udongoni anabakia Allah sw mkali wa wakaliNi bandika bandua. Akitoka Netanyahu anakuja mwamba mwingine ambae ni mkali zaidi
Heri aongoze milele badala ya habithi mwenzie anayegulia kitandani.Wadau hamjamboni nyote?
Amewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani, Spika wa bunge la Knesset na amewahi kuongoza kikosi maalumu cha askari wenye weledi mkubwa almaarufu Unit 8200
Amezaliwa 22 Juni 1969 (miaka 55)
Nchi ipo salama mikononi mwakea hivyo magaidi yataendelea kushughulikiwa kikamilifu
Mungu ibariki Israel
Unit 8,200
Unit 8200 is the equivalent of the U.S. National Security Agency or Britain's GCHQ, and is the largest single military unit in the Israel Defence Forces. It is descended from early codebreaking and intelligence units formed at the birth of the state of Israel in 1948.18 Sept 2024
Ambaye kaingia chaka kawakimbia wayahudi na kuwaacha wapalestina wakitoka doz.Mwisho wa siku wote wanalazwa udongoni anabakia Allah sw mkali wa wakali
allah yupi unaemzungumzia?! Yule aliewatuma hamas kufanya ugaidi huku wakiimba allah akbarMwisho wa siku wote wanalazwa udongoni anabakia Allah sw mkali wa wakali
Ndionsifa kuu ya mashetani, kuua watoto na wanawake huku wakisema ni Mungu ndio kawauaHii nchi meanasiasa Komando, raia Komando yaani kila mtu komando
Allah naye anazingua, kwanini hawasaidii Palestinians?Ambaye kaingia chaka kawakimbia wayahudi na kuwaacha wapalestina wakitoka doz.
Punguza makasiriko mkuu, kama Hamas wasingeshambulia ile tar 7 October haya yote yasingetokeaNdionsifa kuu ya mashetani, kuua watoto na wanawake huku wakisema ni Mungu ndio kawaua
Mwanaizaya yule😂Heri aongoze milele badala ya habithi mwenzie anayegulia kitandani.
Sass kama Haniyeh, sinwar, dief, nasrallah ni raia wana manati ndo waachwe tuu?Komando wa kupigana na raia wenye manati wa parestina sio wa kuwazingatia sana.
Umasikini wa kujitakia, watatufanya masikini nawe umekubali kuwa masikini.itatusaidia nn ss nch maskn kama Tanzania?
Mkuu hili ni jukwaa la habari za kimataifa kama unataka mambo ya kuisaidia Tanzania nenda majukwaa husika usizingue watu hapaitatusaidia nn ss nch maskn kama Tanzania?
🤣🤣🤣 👍🏻Mkuu hili ni jukwaa la habari za kimataifa kama unataka mambo ya kuisaidia Tanzania nenda majukwaa husika usizingue watu hapa
Muwindaji yule.hajui kutumia hata manati ye ni mishale tuusikute hata walimu wa msingi huko ni makomando elite solders , naibu wetu waziri mkuu sijui anasifa zipi