News: Mtoto atakayezaliwa lazima awe genius !!!

amigooo

Senior Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
115
Reaction score
18
Pamoja na kuwa watu tunafahamu kuwa mama mjamzito anatakiwa kula vizuri kwa ajili ya kulea mtoto aliye tumboni na kuweza kuzaa mtoto mwenye afya kuna jambo lingine napenda kuongezea. Mzazi yeyote anapenda mtoto azaliwe akiwa na afya njema pia na akili inayofanya kazi vizuri. Kuna lishe nzuri ya asilia muhimu kwa ajili ya afya ya ubongo na siyo kwa mama wajawazito tu bali hata kwa wengine pia sababu ina faida zaidi hiyo. Utafiti ulifanywa kwa nini Wajapani hawaugui magonjwa ya kansa, kisukari na magonjwa ya moyo, ikaonekana kwamba wao wanatumia sana vyakula vya baharini ukilinganisha na watu wa magharibi wanaotumia mafuta ya nyama.
Artic sea imetokana na mafuta ya samaki aina ya salmon anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya artic anayetoa Omega 3(750mg) na mafuta ya mzeituni yanayotoa Omega 9(250mg). Mafuta yanasaidia kuondoa cholesterol. Bidhaa hii husaidia ukuaji na ufanyaji kazi mzuri wa macho na ubongo. Kila kidonge kina vijiko vya chai vya mafuta ya samaki 30. Bidhaa hii inaweza kupasuliwa na kupakwa kwenye ngozi kwa ajili ya massage

FAIDA: Ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu, matatizo ya hormones, afya ya ngozi, huongeza nguvu na kinga ya mwili, cholesterol, arthritis, macho kutokuumbika vizuri, misuli kukosa nguvu, kutekenyeka kwa viganja na miguu, huzuia kansa ya maziwa, prostate na matatizo ya stroke
NAKUSHAURI NA WEWE PIA UZINGATIE HILO KAMA MDAU WA AFYA. NIANDIKIE KWENYE EMAIL HAPO CHINI KWA USHAURI/SWALI/UHITAJI
Email:healthwealthfirst@gmail.com
 

Attachments

  • ARTIC SEA – SUPER OMEGA – 3.jpg
    4.6 KB · Views: 1,327
Sasa mambo ya kuandikiana Email yanakujaje hapa? kama unatangaza biashara tutajie inapatikana wapi na kwa bei gani?
 
Kama mtu anahitaji ushauri, swali au uhitaji ndiyo anaweza kuniandikia.
 
Omega 3 siku hizi tunaipata kwenye mafuta ya ubuyu wenzio. Waay cheaper. Jiingize kwenye biashara ya kupromote vitu vyetu asilia ambavyo tunamudu bei.
 
[FAIDA: Ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu, matatizo ya hormones, afya ya ngozi, huongeza nguvu na kinga ya mwili, cholesterol, arthritis, macho kutokuumbika vizuri, misuli kukosa nguvu, kutekenyeka kwa viganja na miguu, huzuia kansa ya maziwa, prostate na matatizo ya stroke]


Hiyo faida sijui kama inaeleweka.....Mambo ya Forever Living!!!!!! Kweli ugenius unakuja kwa kula EPA na DHA tu eehh!
 
Rejea kuisoma vizuri hiyo thread na bila shaka utaweza kuona umuhimu wake.

Mkuu, you are missing the point here..hebu nijibu maswali yangu..au hayana validity katika thread yako, if not, NAKUKUMBUSHA kusoma tena thread title yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…