mkuu lazima ukubaliane na mimi wewe ni mwoga wa maths! na hii ndo sababu umefeli maths kote huko ulikopita!!
-sasa mfano maths ipo je hutasoma??
-kumbuka ile ni BARCHELOR OF SCIENCE IN AGROBUSSINESS AND AGRO ECONOMICS..umenisoma hapa..hii ni bachelor of science na ujue hamna science ambayo haina MATHS!! hapo moja kwa mija ni kwamba MATHS IPO!! NA HILI SI LA KUPINGA KWANI LIPO...
TURUDI KWENYE UPANDE WA PILI WA SHILINGI....
JE WEWE UNAIPENDA HIYO PROGRAM?? je unaipenda economics?? kama jibu ni YES then wasi wasi ondoa kwa maana ni kitu ambacho unakipenda na kwa lolote litakalotokea utaliface bila kujali ugumu wake!!!!
-sio jambo zuri kushindwa vita kabla ya KUANZA MAPAMBANO(kabla hujaingia uwanja wa mapambano) na hili ndo jambo linalotuangamiza watu wengi katika hii dunia!!! JIAMINI!!!
ZAIDI YA YOTE..HONGERA SANA KWA KUCHAGULIWA SUA..NAIMANI TUTA MIT!!! NA UKIWA NA SHIDA YA MATHS U CAN CONSULT ME NTAKUSAIDIA NTAPOWEZA...USIOGOPE MATHS...ALL THE BEST!!!!