Ruge, lazima uelewe kuwa si lazima uwe na utaalam kuanzisha jambo au mradi. Unachotakiwa ni kuwa na ubunifu [idea].
Mfano mzuri sio kila mkandarasi ni Engineer, Sio kila mmiliki wa shule ni Mwalimu na si kila mfanyabiashara ni mchumi.Hii ndiyo dhana potofu ya watanzania na ni lazima tubadilike.
Kuna uwezekano Leseiyo ana wazo na mtaji lakini hajui ni vipi gazeti lina andaliwa. Ndio maana ameleta hoja yake jamvini ili asaidiwe. Kama kuna mtu ana uwezo msaidieni ndio ujasirimali wenyewe.