Newton's first law of love...

Msolid1990

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
144
Reaction score
50
Love can neither be created nor destroyed but it can just be transfered from one gf/bf to another.
I will come for the proof and equation maana najua wanasayansi mtaanza kuuliza kuhusu kuprove.
 
Love can neither be created nor destroyed but it can just be transfered from one gf/bf to another.
I will come for the proof and equation maana najua wanasayansi mtaanza kuuliza kuhusu kuprove.

Msolid1990 newton anazungumia nishati labda sasa na love iwe ni nishati lakini ninaamini love comes from GOD the Almighty..........kwa hiyo yeye ndiye aliyeiumba na aweza kuiharibu pale tunapomchukiza kwa madhambi yetu...............
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwanza kabisa hii sio law ya Newton (sema msolid law na sio Newton)..

Pili
Love Grows and also Dies so Love can be initiated and nourished hence grows and depending on situation can eventually die Therefore can be created by (attraction and chemistry) destroyed by (disappointments and hatred)..

Source: Real Life and my Personal Observation
 
Msolid1990, umenikopi kwenye ile sred unataka, niweke kama sosi, ila sio tomato sosi.

Afu umeandika kama tumebisha, ngoja nikaitafute hiyo komment yangu ulokopi

tena ilikuwa ina mhusu Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Msolid1990, umenikopi kwenye ile sred unataka, niweke kama sosi, ila sio tomato sosi.

Afu umeandika kama tumebisha, ngoja nikaitafute hiyo komment yangu ulokopi

tena ilikuwa ina mhusu Asprin.
Kongosho umemkamata utamu lol! Am sure hatorudia tena teh teh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…