Next SA President: Conflicts in ANC & Zuma's Controversy

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Posts
3,236
Reaction score
669

Mr Mbeki and his former deputy
Mr Zuma are now bitter rivals


Ramaphosa put forward for contest.

Je, ni nani ataukwaa urais wa majirani zetu SA? The economy power house of the region.
 
S Africa is losing its way - Tutu

Rapist huyu amealikwa na CCM na serikali ikampa kibali cha kuja kwenye mkutano wake kule Dodoma. Hivi tutaendelea hadi lini kuwaonea aibu marafiki zetu na kuwaambia rapist kama Jacob Zuma hawatakiwi kukaribishwa Tanzania. Je tuna uhakika gani hakufanya rapings huko Dodoma?

Back to the topic: Askofu Desmond Tutu hakupata kigugumizi alipokuwa kwenye mazishi ya Steve Biko na kusema rapist hawatakiwi kuwa na uongozi mkuu katika serikali.


Soma zaidi kuhusu kinyang'anyiro cha uongozi huko bondeni.

2007: Crucial year for ANC
 
Kweli Dua la Kuku Hali mpati USA
 
Kweli dua la kuku halimpati mwewe. Zuma na mkuu wa kaya pete na kidole hata bmoyo kwa shehe flan hivi (fundi) wao ashaletwa na kulala hotelflan inayohusishwa na mzee . Ilikuwa kwa siri sana lakini si unajua tena wabongo kwa udaku, wananusa hadi pasipostahili.
 
South Africa court blow for Zuma

Madaraka mazuri angalia Mbeki anavyosema hapo juu, lakini huyu mzinzi na rapist naye kitumbua kinaota majani.
 
Zuma ahead in ANC president race


Interesting ............................., sasa tusubiri kama kutatokea twist nyingine kabla ya uchaguzi.
 
ANC women give Zuma further boost


Huko bondeni naona mambo ni makali sana. The only way Mbeki atamsimamisha huyu mzinzi ni kurudisha mashitaka ya corruption ambayo yalisimamishwa sivyo SA itaelekea Zimbabwe style.
 
Mbeki may be forced to call election if rival wins ANC poll


· President's critics threaten no confidence vote by MPs
· Corruption claims fail to erode Zuma's lead in race

David Beresford and agencies in Johannesburg
Monday December 3, 2007
The Guardian


President Thabo Mbeki of South Africa may be forced to call a general election if he loses the leadership of the African National Congress to the party's deputy president, Jacob Zuma - or face a vote of no confidence in parliament, it was reported yesterday.
The ANC will choose a new leader at the party's conference on December 16-20. Analysts say Mbeki, who is not allowed to run for a third term as state president, wants to remain head of the ANC to influence the country's politics and help pick his successor.

Although Zuma is facing trial on corruption charges after recently beating rape charges, Mbeki has lost substantial ground to him in the race for the party's leadership. If Zuma wins he is almost certain to become South Africa's next president in elections due in 2009.
Zuma's lead in the ANC contest offers the prospect of the country being run by two competing presidents - a party president and a state president .

In an interview published yesterday in the Sunday Independent newspaper, Mbeki insisted he would not become a lame duck president. Asked specifically about the possibility of a general election, he was quoted as saying: "I have not thought about that one. We haven't got there yet. I don't know. It's possible. It's possible, yes indeed. "

The Sunday Times in Johannesburg said the Zuma camp planned to oust Mbeki with a vote of no confidence if he refused to call a general election.

The party goes into this month's conference deeply split over Mbeki's policies. He has helped sustain an economic boom but is accused of promoting a culture of cronyism and of using state institutions to purge opponents. He denies this.

The rivalry between Mbeki and Zuma has plunged the ANC into one of the worst crises in its history and overshadowed efforts to fight crime, Aids and poverty. Zuma was South Africa's deputy president for six years before Mbeki sacked him in 2005 after he was implicated in a corruption trial. That case was thrown out on a technicality, but a court ruling this month allowed prosecutors to recharge Zuma. He was acquitted of rape charges in a separate case.

Despite controversy that has hurt his reputation, Zuma has made a dramatic comeback, maintaining wide support from the trade unions, who accuse Mbeki of helping big business and neglecting the poor. But the graft case, involving kickbacks for an arms deal, still hangs over him.
 
1. Tatizo la Mbeki amekuwa akitawala SA kama Prefect Mkuu- na kutoa adhabu kali kwa his colleagues-wakati Zuma ni mtu wa watu wa kawaida- anayeonekana kutetea walalahoi pamoja na mapungufu yake!

2. Mbeki yupo karibu na wasomi na wenye pesa SA- ila sii majority ktk kupiga kura ANC- ndo maana kuna uwezekano mkubwa Mbeki akabagwa na Zuma! Akina Ramafosa na Tokyo pia sidhani kama wako karibu na watu wa kawaida kama Zuma!

3. Moja tuu ambalo hadi leo mimi akilini linanitatiza ni Zuma kufanya ngono na yule dada aliyeathirika (huku Zuma akijua)- bila kinga- kisha akaoga- ili asipate ukimwi! Sijui akiwa raisi itakuwa vipi? Je hajui au hawezi kujizuia? Haya mambo- ukitafakari unachoka!
 
I thought we Kenyans are your nearest neighbours?! Hehehe but I understand your fascination with SA. Its normal...in Tanzania. Good day

Kenyan-Tanzania,
Unanchekesha! Sisi ni ndugu moja tu! Sema in 70s and 80s wakati Kenya walipotutupa mkono- ndo tukapata rafiki wa mbali- wapigania uhuru SA- Akina Mbeki, Mandela walipata makao Tz wakati wanapigania uhuru.

Wakati ule- Nyerere aliomwomba Kenyata awe Raisi wa kwanza wa EA wakati hatujawa huru- Mzee Kenyata akakataa- sasa sisi tukaenda mbali kutafuta basi marafiki SA region na 1980 tukanzisha SADC.

Ndo maana hata sasa Tz tunasita kuanzisha EAF kwa Fast Track.

Tuu ndugu moja tu mkuu!
Heshima mbele!
 
Kama SA wanataka kufanya makosa waliyoyafanya Tanzania 2005 wamchague Zuma. Dunia hii ya leo mtu bado anaamini kuwa unaweza kuzuia ukimwi kwa kuoga baada ya kufanya mapenzi na muathirika. Huyu mtu atawezaje kuendesha nchi yenye uchumi mkubwa kama SA?

Kikwete alikuja na njia hiyo hiyo ya kujifanya yupo karibu na watu na tukasahau kuwa alikuwa karibu na mafisadi, hatimaye nchi inamshinda. Leo hii Zuma anajifanya yupo karibu na wa SA, lakini kunaushahidi wa kutosha kuwa naye pia ni fisadi. Haya, tusubiri tuone.
 
I thought we Kenyans are your nearest neighbours?! Hehehe but I understand your fascination with SA. Its normal...in Tanzania. Good day

Our fascination eh! This is the problem, we shouldn't discuss anything about any country until we get permission. Very interesting indeed, I hope you are still following the case of the killer, it was all over British media.
 
I wonder why would someone with working brains would even dare to invite a person like Zuma to CCM congress. This man has proved to idiot, though it is common for idiots in several parts of the world (USA) to be voted into office.
Kwa mtu anayesema ..."i took shower afterwards", anaweza kusema kitu kama hicho kwenye mambo ya uchumi, defence au finacne ukashangaa nchi ina collapse. Bahati mbaya ni kuwa siasa za SA zimejengeka kwa msingi wa emotions na sio reasoning, kwa msingi huo jamaa anaweza kuchaguliwa kuwa mwenyekiti, na kuanziasha mwisho wa SA,
 
tz devil I salute you. This is exactly what RSA are running at risk for the forthcoming general eleaction. I hope Mandela and Mbeki will be bold enough to control Zuma and tell him correct words. Zuma can continue to be ANC leader but NOT as president. He is F***king dumb.
 
'Nothing to fear' from SA's Zuma


Winning the leadership would boost
Mr Zuma's presidency chances



Winnie Mandela and Archbishop D. Tutu have voiced their concerns but we haven't had about Nelson Mandela saying anything. I wonder ...............................
 
Tutu's call (BBC news)

On Friday, the former Archbishop of Cape Town, Desmond Tutu, urged the ANC to reject Mr Zuma.


Thabo Mbeki and Jacob Zuma publicly fell out in 2005
Archbishop Tutu, one of South Africa's most powerful moral voices, said delegates should "not choose someone of whom most of us would be ashamed".

"We're very worried that this leader had relations with a woman who regarded him as a parent," he told South Africa's Mail & Guardian newspaper.

This was an apparent reference to the woman Mr Zuma was acquitted of raping. She was a family friend less than half his age with whom he had unprotected sex while being aware she was HIV-positive.

Mr Zuma responded by saying it was "the business of the leaders of the Church... [to] pray for people, not condemn them".

Once close allies, he and Mr Mbeki publicly fell out in 2005 when Mr Zuma was sacked as deputy president over corruption allegations.
-----------------------------------------------------------
AT LEAST THERE IS ONE PERSON WHO CAN DARE TELLING ZUMA THE CORRECT WORDS.
 
Winnie Mandela proposes ANC deal


Mrs Madikizela-Mandela expressed
concern at the ANC infighting



Pamoja na mashabiki wa Mbeki kuzomewa inaelekea rais huyu hana ubavu tena na anasubiri tu kula pensheni yake. Nelson Mandela naye hakutoa suluhisho lolote bali kulalamika tu.

Huenda Mbeki akaja kuweka shinikizo kwa kesi yake ya ubadhirifu wa pesa kurejeshwa na kumuumbua hapo baadaye.
 
Tatizo wanalofanya South Africa sasa hivi liko kwenye damu yetu waaafrika wote. Tunapiga kura zetu kwa kusikiliza lugha tamu za wagombea bila kuwaangalia kwa kina hao wanaoomba kura zetu kama kweli wanaweza kutekeleza majukumu yanaoyendana na nafasi wanazoomba. Yaliyotokea Zimbabwe sasa yataingia afrika ya kusini iwapo Zuma atachaguliwa.

Mzee Tutu na Mama Madikizela wameongea kuwa "NO" kubwa sana kwa Bwana Zuma, sijui kwa nini Mzee Madiba kakaa kimya kabisa; inaelekea ameshaona kuwa hakuna nguvu ya kumzuia Zuma tena.
 
Kama Zuma alimbaka huyo binti mwenye ngoma si bila kuvaa buti ina maana chances are na yeye si kaukwaa?

Yaani jamaa alijua kuwa demu ana ngoma lakini akashindwa kujizuia? The rape alone should disqualify him, his evident poor judgement would make a disastrous head of state.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…