Next SA President: Conflicts in ANC & Zuma's Controversy

Ninadhani kinachoendlea SA hasa kwenye uchaguzi huu ni ukabila. Inaelekea kuwa ni mashindano kati ya Wa-zulu na Wa-xhosa. Kama huo ni ukweli bali the net loser ni mwafrika.
 
kutokuwa musinzi si kigezo cha democracy ya kweli watu wanaangalia mambo mengine pia kwani hapa kwetu hatuna viongozi wazinzi tuliowachagua?
 
kutokuwa musinzi si kigezo cha democracy ya kweli watu wanaangalia mambo mengine pia kwani hapa kwetu hatuna viongozi wazinzi tuliowachagua?

Uzinzi ni suala la value, kama uliwachagua viongozi wazinzi haina maana mataifa mengine yafanye tulivyofanya. Hao wazinzi mlio wachagua si mnalipa price hata miaka miawili haijapita.

Mtu kama siyo mkweli kwenye familia yake unategeme atakuwa mkweli kwa mtu asiyemjua? Demokrasia haiji tu kama demokrasia bali demokrasia inakuja kama package.
 
We KANKI, uongozi wowote unamiiko yake hata uwe "monitor" wa darasa. Haina maana kuwa kwa kuwa Tanzania tuna kiongozi mzinzi basi nao ANC wamchague mzinzi. I pray that ANC should learn from us and kick out JZ. I said earlier even Adolf Hitler was democratically elected. This call a new way other than so called democracy to effect the way we govern ourselves. In many cases democracy has failed to give a TRUE leader.
 
100% Zuma will be the next SA President. Kwa mujibu wa watu kutoka ndani ya ANC, Mbeki kwenye miaka yake miwili ya mwisho amekuwa bogus, amefanya fyongo nyingi na he is no longer good for the country. Lakini Zuma anaweza kuwa mzuri kwa nchi kama aliyosema atayatekeleza kweli. Elimu yake ni ndogo sana, ni kama hajaenda shule kabisa amepata elimu ya kufuta ujinga akiwa gerezani, lakini kwa sababu Afrika kusini ni nchi ambayo it has a system in place hilo haliwezi kuwa tatizo sana. lakini unaweza kusema kuwa Zuma ni mwenyekiti anayefuata wa ANC na eventually rais.
 
Bongolander: We said the same thing to JK in 2005, that he is an economist, mtu wa watu, anajali wanyonge n.k. What is needed here is not an experiment. Wanasiasa wanaoahidi mambo mengi kama JZ na JK ni upuuzi mtupu. Unatakiwa ahadi iwe analytical (utapata wapi extra money ku-fulfil ahadi zako wakati unasema kwamba RSA ni nchi ambayo it has a system in place ? Mandela aliahidi kujenga nyumba kwa wanyonge, hakuweza, JZ yeye atafanya nini tofauti ?
 



He will rape more women, be more corrupt and become a dictator like Mugabe.
 

Bongolander,

Kuna rais kama taasisi na rais as an individual. RSA inaweza ikawa na system in place kama zilivyo nchi nyingine, lakini inapofikia rais atoe maamuzi yake binafsi hapo ndiyo kasheshe inapoanza. Mfano mzuri ni Dr. Kikwete jinsi anavyopelekeshwa. Tanzania ya leo imekuwa kama kichwa cha mwendawazimu. Sidhani kama unataka yanayotokea Bongo yatokee SA.
 
In pictures: ANC leadership contest




Early on Tuesday some of the almost 4,000 members of South
Africa's ruling African National Congress (ANC) party began
queuing to elect a party leader.






The contest between the rivals, President Thabo Mbeki and
Jacob Zuma, has revealed deep divisions within the party.





Mr Mbeki is seeking a third term at the helm of the ANC...




... but the party's number two, Jacob Zuma, is favourite to
win, despite allegations of corruption.





If elected, Mr Zuma will become the front-runner to take over
as president in 2009, when Mr Mbeki will be obliged to step
down after two terms as head of state.





But if Mr Mbeki can hold onto the party leadership, he could
work to prevent Mr Zuma reaching the presidency.





The five-day conference is taking place in the country's
northern town of Polokwane. It opened on Sunday.





Former President Nelson Mandela has said he is saddened by
"the nature of the differences currently in the organisation".
 
Humiliation for Thabo Mbeki as ANC's 'big man' is voted party president







The road to the presidency...............well, what next? ...........Time scale two years.
 

'Enough evidence' to charge Zuma

South Africa's top prosecutor says there is enough evidence to charge the new leader of the governing party, Jacob Zuma, with corruption.

The acting head of the National Prosecuting Authority, Mokotedi Mpshe, said a final decision on when to take action against him was "imminent".

The charges relate to an arms buying scandal, which saw one of Mr Zuma's advisers jailed for 15 years.

Mr Zuma was elected leader of the African National Congress on Tuesday.

The 65-year-old, who denies any wrongdoing, is due to deliver his acceptance speech and lay out his vision for South Africa at the ANC party conference on Thursday.

The BBC's Will Ross, at the conference in Polokwane, says the timing of the prosecutor's announcement has come as a surprise to many people.

Bitter fight
Mr Zuma was sacked as deputy president in 2005 by President Thabo Mbeki, after he was implicated in a corruption trial that saw his former financial adviser Schabir Shaik convicted of fraud and corruption.

The case against Mr Zuma was put on hold last year for procedural reasons, but prosecutors said earlier this month that they had new evidence that could lead to renewed charges.

He was cleared of rape in an unrelated, high-profile case last year, which his supporters say was politically motivated.

As the new leader of the ANC, Mr Zuma is in a strong position to become the country's next president when Mr Mbeki's term ends in 2009.

The leadership contest between Mr Mbeki and Mr Zuma was bitterly fought, and divided the ANC.

Afterwards, Mr Zuma's supporters called for unity, saying it was not the moment for triumphalism or revenge.

Je, hicho ni kisasi cha kushindwa kwa Mbeki? Kwanini hizo charges zitangazwe mara baada ya Mbeki kugalagazwa kwenye uchaguzi wa ANC? Ama kweli dunia hii ubabe upo kila kona. Ninapata hisia fulani kuhusu Mbeki na hasa nikikumbuka namna anavyolishughulikia swala la mgogoro wa Zimbabwe na fununu juu ya uchu wake wake wa kutaka kuomba kugombea tena kwa kipindi kingine cha tatu. Lakini wakati ukifika yote yatakuwa hadharani!
 
Timeline: Zuma's legal problems


Mzalendohalisi

Hizo charges zilikuwepo kama unavyoona hapo kwenye time line, rafiki yake aliyekuwa anashirikiana naye amefungwa miaka 15. Akichukua urais atamuachilia kama sheria inavyopindishwa kwa DITO. Unafahamu kesi jinsi zinavyochukua muda mrefu tusubiri tuone kitatokea nini?
 
..siku zote nimekuwa na mashaka na Mzee Mandela. Kwa hili amenimaliza kabisa.

 
wenzetu wamekomaa kisiasa na mzee anaangalia hatma yake hataki kujichafua angekuwa mzee kifimbo angetinga kokote kwenye kikao cha maamuzi na kumchomoa asiemtaka
 
what happens in ANC is a really communist / socialist parties working style....viongozi wa vyama kama hivi ccm ikiwa moja wapo huwa hawazuki bali hutoka within the circle...na kwa uchambuzi wangu naona kuwa mtu yeyote kuwa rais wa afrika ya kusini ni lazima awe na historia ya kimapambano...hii itakuwa hivyo hadi kizaai cha mapambano kiishe [ili mtu kushinda ni lazima role yake kwenye vita ya ukombozi iwe wazi]..hii nitaiita ROBBEN IRELAND FACTOR...

ZUMA kakiwa kakijana kadogo katukutu kasikosoma ...alikuwa akitumika kama nyoka ..[like child soldier] alitumikia kfungo robben na mandela kwa miaka kumi..baada ya hapo alipata mafunzo ya kijeshi msumbiji..na watu wa frelimo kabla ya kusomea upelelezi kwenye nchi rafiki..kabla ya kuteuliwa kuwa MKUU WA USALAMA WA ANC[CHIEF OF INTELLIGENCE]..Kwa hiyo kimsingi lazima mandela amuunge mkono....urais wa afrika ya kusini unaweza kuwa wake kama hataonekana na hatia ya rushwa ..iwapo hataweza kupita kuna uwezekano mkubwa rais akawa ..mwanaharakati wa zamani wa anc na tawi la kikomunist ..ambaye sasa amegeuka mfanyabiashara bilionia...CYRIL RAMAPHOSA...

NI lazima ijulikane pia kuwa ndani ya ANC mbeki anaonekana kama mgeni na mtoto wa mama tu..kwani hajapata kupigana mstari wa mbele.alikuwa mtu wa mikakati zaidi na akishughulikia mabo ya nje ya ANC ..UNLIKE zuma ambaye ali plot na kutekeleza mikakati yote ya kigaidi[kijasusi] ya chama na MK..ili kuwafanya utawala wa kikaburu uone nchi haitawaliki..MBEKI Alipendekezwa na MANDELA Kama heshima kwa GOVAN MBEKI rafiki wa karibu wa mandela waliyetumiikia kifungo pamoja..mahisi hii ilikuwa dedication ya mandela kwa GOVAN..nafasi ya ZUMA kama naibu rais ilikuja baada ya FREDERICK DE CLERK kujitoa serikalini ..mandela alimpa kama ishara ya heshima kwa role ya zuma kama mpiganaji mahiri...

kiutendaji wa uchumi uwezekano mkubwa ni kuwa zuma hatakuwa , mzuri zaidi ya kuwa hajawahi kupata elimu yoyote ya darasani ... inaonekana wazi ZUMA is just CHARISMATIC...watu wa namana hii wanapendwa tu kama tunavyompenda michael jackson et al lakini si watendaji mara nyingi..
 
Phillemon,

kuna habari moja nilisoma toka BBC wanadai Thabo Mbeki hakuwa chaguo la kwanza la Mzee Madiba. Inasemekana Madiba alitaka Cyrill Ramaphosa awe mrithi wake.

Thabo Mbeki alikuwa msaidizi na speech writer wa Oliver Tambo. hiyo habari inasema wakati Tambo anafariki alielekeza kwamba angependa Mbeki awe mrithi wake.

Kuna kikundi cha ANC exiles ambacho kilifanya kazi kubwa kuhakikisha kwamba "mwenge wa mandela" hauzimiki. Oliver Tambo alikuwa na ushawishi mkubwa ktk kundi hilo, na hao ndiyo waliomshinikiza Mandela amchague Thabo Mbeki kuwa mrithi wake.

Sijui itakuwaje lakini hii kesi ya kubaka kwa kweli imem-compromise Jacob Zuma mbele ya jamii ya kimataifa. nadhani atakuwa na wakati mgumu sana kuongoza kama Raisi.

Mategemeo yangu ni kwamba baada ya kuwapiga chini kina Mbeki, basi Zuma atatafuta mtu ambaye anamuona anafaa kuwa Raisi wa SA kuliko yeye kukalia kiti hicho. Kwa kweli mimi naona hizi kashfa zinaivunjia hadhi SA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…