Next stop;Wydada casablanca

herio

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
2,245
Reaction score
4,320
Baada ya mechi ya leo dhidi ya watani wa jadi Yanga, mechi kubwa na ngumu tunayoisubiri Ni dhidi ya mahasimu wetu kwenye bara la Africa Wydad Casablanca
Baada ya draw ya caf kuchezeshwa nadhani wengi wamekuwa wakitubeza lakini kutokana na mechi ya leo nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hakuna kinachoshidikana...
Hakika kocha akija na game plan kama ya Leo wydad kwa mkapa hatoki
Mechi ya leo imenikumbusa World cup final dhidi ya Argentina vs France
Congratulations 🦁 🦁
 
Unaamini Wydad nao wana Mayele wao?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Waydad wajiandae kisaikolojia..maan najua Leo walikua wanafuatilia mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…