Ney: Nilishawahi kushuhudia mabinti wa Bongo Movies wakijiuza kwa wageni

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
MKALI wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema kuwa aliwahi kushuhudia staa mmoja wa filamu Bongo (jina tunalo) akijiuza kwa mgeni mmoja kutoka nje ya nchi na kwamba tukio kama hilo aliliona zaidi ya mara moja.

Akizungumza na gazeti hili mapema juzi, Nay mkali wa nyimbo za Nakula ujana na Muziki Gani, alisema mabinti wengi wanacheza filamu siyo kwa ajili ya kujikwamua kimaisha, bali wanafanya hivyo ili kuuza sura ambayo baadaye huitumia kwa ajili ya kujiuza ili kujiingizia kipato.

"Mimi kila kitu ambacho huwa ninakiimba huwa kina ukweli ndani yake na niko tayari kwa mtu ambaye atahisi nimemuonea tutafikishana popote pale, nilishawahi kushuhudia mabinti wa bongo movie wakinunuliwa na wageni wanaokuja kutoka nje ya nchi,"
alisema Nay.

Chanzo: Udaku Spesho
 
Mwanaume kutafuta kick kupitia kina dada kila siku wala haipendezi au alitaka awauzie yeye hao wageni.
 
Mwanaume kutafuta kick kupitia kina dada kila siku wala haipendezi au alitaka awauzie yeye hao wageni.

we nae mbona hna la maana bas kama kahojiwa asifunguke heee we vp au ndo dada wa bongo muv nn..
 
Mama huruma wamejaa sana bongo movie
 
Mama huruma wamejaa sana bongo movie

na we ulishahurumiwa.

mbona ye alimpa mimba mtu akamtelekeza watu hawasemi aende hukooo..... akalee mtoto sio kufanya show off za vitu anavyomiliki
 
Amtaje jina na uthibitisho wa picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…