Ney wa Mitego aamua kujianika wazi katika video ya MR NEY

mvuta bange tu huyu hana lolote alituahid anacheza picha la x mpaka leo kimya
 
stupid niggers...freemason my ass, mnaijua freemason nyie?
 
sometimes watu wanamtumia hadi shetani ili kupata kiki... hayo maalama tu yanakupa attention. ukicheki hiyo video kacopy concept ya lil wayne (b*tches love me); ambayo ina-represent kitten mind control. hamna mason hapo. ni kiki za kutumia alama zao.
 
Mna wa-underestimate mno masons., ha ha ha aisee
 
free mason imeleta mambo hata ukijamba utaambiwa umejamba ki free mason
 
Kote huko ni kutaka sifa tu na kwakuwa ameamua kuwabeep ngoja wampigie vizuri maanake huenda akawafurahisha kwa matangazo yake !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…