Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’

Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio

Namshauri aongozane na Mwanasheria wake.

=======
Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kufika kwenye kikao ili kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’ kilichopangwa kufanyika asubuhi ya leo.

Nay amesema wakati anapokea wito huo alikuwa safarini hivyo amepanga kufika Ijumaa Septemba 27, 2024 saa sita mchana.

“Mashabiki wangu na Watanzania wapenda haki wote kwa ujumla mimi na nyinyi letu ni moja na tutashinda kwenye kila jaribu kwa sababu sauti ya wengi ni sauti ya Mungu na haki huinua Taifa.” ameandika Nay.

Soma Pia:

Screenshot 2024-09-26 184053.png
 
wala basata hawajatumwa sema vile kujipendekeza waonekane wana chukua hatua

iyo inaitwa kimbelembele waonekane na mkubwa wao
 
Kuna boya mmoja ambaye pia n naibu Waziri na pia ni msanii wa zamani kdg, aliwahi kusema 'wasanii kabla hawajatoa nyimbo zao public bc wazipitishe kwanza basata ili zipitishwe'

Ukiwa na kiongozi maandazi, hata wizara nayo itakuwa ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom